Wacha niende hivi, nakam… Here are 40 habits that prove Nairobians are peculiar

Wacha niende hivi, nakam… Here are 40 habits that prove Nairobians are peculiar

Please DM. Wacha niende hivi, nakam… are some of the habits that are unique to Nairobians.
The top 15 pet names that smooth Luo men use to confuse slay queens
To identify one is easy, because they have peculiar habits.
Here are 40 habits that only a Nairobian would relate to and identify with.
The list has been circulating on the interweb. It is not clear who the original author of the list is.

 1. Wacha niende hivi nakam.
 2. Niko bafu nipee dakika 5.
 3. Si unikopeshe 500bob nitarefund jioni.
 4. Wacha niendee pesa nikam.
 5. Wacha nitakupigia after 30 minutes.
 6. Niko kwa mat ina kelele I’ll call you back.
 7. Utalipa ama nilipe.
 8. Client anasema tufanyie kwanza free then aone that we can deliver.
 9. Please DM.
 10. I miss you.
 11. Acha tuone vile siku itakuwa.
 12. Kiasi tu nikutumie.
 13. Nitumie credo niko kwa hao na sina doo kwa Mpesa nitarudisha.
 14. Pesa yako nakutumia sai sai.
 15. Ntakua tao by 2.
 16. Client anasema atalipa ikiTrend.
 17. Weka pesa kwa hii namba, ile ingine ina shida.
 18. Client amesema tufanye trial alafu atatupea job.
 19. Nitumie fare ntakam.
 20. Am single and satisfied.
 21. Nifanyie bei poa ntakuletea customers.
  Is this Linda Ogutu’s super expensive machine? (Photo)
 22. Kuja tuwatch movie.
 23. Ujue ntalala na trao.
 24. I love you to the Moon and Back.
 25. Nitaweka kichwa tu.
 26. Nanyesha – BIGGEST SCAM.
 27. She is my bff.
 28. Nitameza p2.
 29. Was just a friend – BIGGER SCAM.
 30. Take me back and i Swear I’ll never Fuck around again.
 31. I am a Virgin.
 32. Nitaingiza kichwa tu.
 33. Am going to see A friend Lets chat niko place noisy…issa.
 34. Running mate…. Major.
 35. Babe hata uyo dame si msupuu kukuliko…
 36. Nimeona missed call yako sahii…
 37. Niko na stress ndo nimemwaga haraka…
 38. Niko kwa jam…
 39. Aaaah ungeniambia mapema nilikua nazo asubuhi sai nimetumia…
 40. I am going to see MY friend.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *