In 2022, many people are battling a lot and stress and discomfort is something you shouldn’t offer anyone.
Many a times I have encountered tweets of people highlighting things you shouldn’t do when you visit someone’s house and when we asked our online fans to name them, I was shocked because people aren’t joking!
From not asking the price of stuff in the house to not overusing their stuff, here’s a list of things you should never do when in someone’s house;
Shufaa: Kuingia ndani. Asimame tu hapo aseme shida yake
Gideon Jorum: Kupasua mayai tano asubuhi ka yeye ndo anataga
Sonnies:Kuniuliza bei ya vitu Kama viti, TV aaaaargh
Ongaro Rael: kupima Kila nguo
Mwiti: Kutoka nje na slippers za nyumba
Icon Pinchez: mm ata sina kwangu
Lys Igunza: Kuangaliana nikikula
Ninie Miss:Kunikulia bwana
Moh daily: Kushika remote
Wangui: nimpikie aje sasa
Kenrold: Anakuja na kuongea na wife wangu English na tumezoea sheng’ na yeye
Charles Chege: First, kuuliza bei ya kila kitu. Second, kuniambia ati music yenye naskiza haipendi, ati ooh reggae mara gengetone, akipata nikiskiza Mugithi tunaendelea ivo ivo. And third kuniuliza tunakula nini
Wairimu: Kuangalia bwanangu
Ann Mulomi: Kuuliza rent ni pesa ngapi na bei ya vitu zangu
BY KISS 100

By

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *