Comedian Eunice Mammito didn’t wish her boyfriend Eddie Butita a happy birthday on Tuesday, something that Eddie spoke about in this article here.
We at Mpasho asked Kenyans what they would do if their significant other didn’t wish them a happy birthday.
The answers are below:
Before social media watu walikuwa wanaambiwa happy birthday aje kwani? Focus on your own ooo
Wanasoma hii post wakiwa wamesweat Kwa bed like ??????
She wished him kwa inbox, na kwa status za whatsapp after kuedit settings??
I don’t even wish myself,??vitu vya dunia
Kwa ground ni different
????????? Hadi aseme ? ?
Mambo ya watu wawili tulisema hakuna kuingilia????
If he didn’t wish me a Happy Birthday but instead surprised me with a big kickass party I wouldn’t mind
I’d wait for our anniversary then niende kucheza fifa na boyz
Labda hakua anajua ?
It’s just okay pia me we are the same sijawishiwa na the bae it’s fine it’s life
Kwani nikizaliwa alikua?mimi mwenye tarehe sijui..shoshomedia msipende kucomplicate mambo..sijafurahia admin!???
Anampendea pesa
It’s normal…ata me sikupostiwa????,but he did days later?
Eiiiiy ????if you know you know. ??
Lazima wapost ig kwani ???labda alimpa ki lingerie birthday sex better than more posting for all to see.
Mende ikiwekwa kwa branding ya can ya Doom ni kumaanisha imependwa sana? Stop this nonsense ???
Tushazoea
Izi ni vitu za kawaida kwetu?????
Bana hawa ni contacts za each other they do text
Acha mi ningoje yangu ifike akose, we break up alaa?? na ndio we say normalize dating guys who take birthdays, anniversaries special?
Kama diamond na tanasha wali wachana yao ni nani??
Mlipanga hio na mammito. Hii kazi yanu imetuzoea ????
??????we mooooove
Labda mtaani yeye ndo alikua wa kwanza, hapendi the exposure kwa socials…alisoma na mutua lilian??
Wewe uli mwish IG , mammito akampea birthday sex ?? who is better now?
Kumbe tunafaa kuwish each other mm ata sikumbuki mwisho kuwishiwa??
??mpasho mko na mchokoro sana..mnapenda kuchokora watu?
Which baby?????
Aii kwani nilazima ?????
Too bad??
Not even wishing how did she forget???
Sio lazima hah??
Ata keki awezi onja na ivo ndio kataisha kama movie??
Not everything is about social media…
Niliwish dem yangu happy birthday saa Tisa jioni last year December, nlijua amenijamia juzi juu ya hio
Hii sitaingilia????
Hawako pamoja , tangazeni io ?
May be it was private you never know.?
Normalize celebrating yourself. You don’t have to wait for anyone to do it…not a big deal to me
Ningecheza chini tu ?
????aky wakenya mbna mnaogelea Butita na mammito indirect
Si labda alikuwa ananyesha hataki kuongea,lol
Sasa hii ni adolescence question.
How do u know she didn’t and u don’t live with them?
No one to blame…..hi ni siku ya kukanyaga mamaa propa
Labda alimu wish inbox alaah
True love doesn’t show off?
Nothing…it’s not the last birthday…
Is not wishing someone a happy birthday a big deal, si Labda alishinda na akaspend naye, so she told him face to face, “LABDA.”
Unfollow ??
He doesn’t know even the date ..but sini life
Did you see there whatsapp?? Or coz we are lovers everything should be public
Kwani ni mabae?
Birthdays are overrated sana
???? nkt
Si must aniwish mtandao
Kuna mtu ashatemwa hapo
Labda alisahau?
Datz kul you just behave as a gentleman don’t ask.
So its a court case
It’s not a must
Mnatafuta udaku
Si maybe alimtext, mind your own business
Kaende kaende
Normality
Sini life
Si akae!
Tears is paramount
Hiyo tu?
Continue with our peaceful life,mbona niharibu juu ya such a small thing……labda ata alimwish si lazima ikuwe social media
Nothing
C ni clout??
BY MPASHO NEWS

By

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *