The matatu culture in Kenya is very vibrant.
Beside the colorful graffiti emblazoned on the matatu bodies, the public mode of transport also treats it’s passengers to witty and funny slogans, stickers and saying posted on the matatu.
They are most times lit AF.
Peculiar things that define Kenyans
Here are 50 very popular slogans you will read when you ride in a matatu.
Vumilia Kama mke wa mlevi.
Mask ni nje ndani covid18 free?
Dere acha wapande tuende tuwagongeshe kwa post ya stima
Okoa muda,ujinga ndio sitaki!!
Leo tunaenda matanga
Uzito wa ferry hautishi bahari
The idiot is behind you
Ndege ya chini
Old is gold young is waste.
Nikifa bibi yagu asiolewe.
Hii lorry haitaki hasira??
Ukidhani umeamka cc tumekesha
Niliona ingine imeandikwa mke wa mtu sumu na mume wa mtu maziwa??
Mkanye mwanao gari si langu
Tako nzuri n la kuku juu n kitoeo
Panda na kiatu shuka na madam.
You Hire The Lawyer I Buy The Judge Cheza Na Rika Yako.
Kuachwa na Dem mpenda pesa n sawa na kumaliza mkopo bank
Gusa unyongwe.
Wali moto mchuzi moto.
Dera jipya chupi ya zamani
Lift na mimba zote tunapeana.
We repair broken eggs
Ata ukue na gari millioni choo utaenda mguu
Heri ukule Karo ya shule kuliko Karo wa shule
Ukipenda chips usiogope mimba
Waacha kutuma pesa kwa dem lipa nyumba kwanza
Mkanye mkeo gari si langu
Japo condom ni mpira mechi zake hazionyeshwi live
Hata ukiringa aje tutameet kwa choo
Kutupa takataka ni soo na kutapika rwabe lakini kunyamba ni bure
Virgin master
Ukitaka mke mwenye tabia kama yako oa dada yako.
Inzi akiacha kiherere anaweza tengeneza asali
Jino moja mswaki wa nini?
Kusoma si kazi, kazi ni kutafta kazi??
Heshimu nazi maembe ni ya msimu
Kama uko n haraka toka ukimbie??
Heri ndugu mjinga kuliko rafiki mwerevu
Kitambi na mimba ni bidii ya mtu
Punda ijai enda shule na ijai kosa kazi
Eti gari haina,abiria umekuja na wangapy
Goodbye corona
Ugali sio tamu ni haina ya mboga
Ukihisi joto enda bebwa na fridge
Heshimu kitambi mimba Ni ya msimu
Hata simba na ukali wake,hupachikwa mimba…
Heshimu nazi maembe ni ya msimu
Leo tunaenda matanga
Jaribu airbag yako hapa tuone kama biguni ni karibu.

By

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *